Jamani hivi wewe dada umesahau kuwa kuzaa bila ya kuelewa au nje ya ndoa ni haramu, sio vizuri kabisa ndio maana watu wengi hawapendi kuzaa nje ya ndoa kwa kuwa huyo mtoto hatakua na mapenzi ya pande zote mbili. Hebu muonee hururma huyo mtoto maana inawezekana akaenda kuishi na mama wa kambo ambaye ataolewa na huyo uliyezaa nae, je unafikiri atapewa matunzo bora kama vile wewe unavyotaka? Angali watoto wa nje ya ndoa wengi ndio hao ambao wanaomba omba huko mabara barani, hwana uhakika wa maisha na mara nyingi wamekua wakitengwa na kutopata mahitaji yao muhimu kama elimu, afya, mavazi, chakula nk. Na pia ndio chanzo tena cha yeye kuwa jambazi, malaya, watumiaji wa mihadarati, walevi n.k.
Habu tunafikiri hata dini zinavyosisitiza tuzae ndai ya ndoa walikosea? Jamani waliona mbali, chako utakipenda tofauti na cha mwenzio. Kumbuka sisi binadamu tumeumbwa kwa kuwa na ubinfsi, hii ni nature yetu (selfish) ndio maana mtu atakipenda kitu chake kuliko cha mwenzie. Kwa hiyo usijidanganye kama huyo mke wa jamaa atakuja mpenda huyo mwanao, kwanza ndioa atamchukia kwa sababu atajua akifa jamaa naye atarithi mali na pia hatapata matunzo bora na elimu nzuri
Tafakari na Chukua hatua. make sure that you make good decision ili usiumie hapo baadae na kumbuka pia majuto ni mjukuu