WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
- Thread starter
-
- #61
Unajua nipo katika kampeni nzito ya kumtafuta mtu kisha nimjenge kwa kipindi hiki then 2012 awe ananipikia na kupakua tu si unajua ni malengo tu niliyo jiwekea ifikapo 2012 na mm naaga ukapera.
DUH!
Fidel, naona huyu hutamweza kama una mipango ya aina hiyo.KUPIKA NA KUPAKUWA? Huyu ni matawi ya juu..... labda wewe uwe unampikia na kupakuwa maana yeye muda mwingi anakata mawimbi across continents.
Kusudi akiwa angani... wewe chini unajiexpress kwa mmanyara au mkondoa si ndio?Duh mtume!
Ok ok sio mbaya bana si tunaajili mtumishi wa ndani ningependelea zaidi tukipata hausi geli wa kutoka Manyala au Kondoa.
Those who tolerate till end they will enjoy the fruits of happiness.
Usioe bana..baki ivo ivo....
MTM
NITAJITAHIDI kujibu kadri nifahamuvyo:
1.hao wapenzi wana umri gani? umri wa kati ILA SIJUI HASA si unajua tena huwezi kudodosa sana umri wa watu
2.wazazi wao ni makabila na dini moja? hapana makabila na dini tofauti
3.hao wazazi wako ndani ya ndoa? ndio
4.Huyo aliyeachana na mwenza... Mwenza yuko wapi? yupo yupo
5.Au tayari keshavuta? sijui kama keshavuta
6.Je wao unaweza kuwaweka kwenye kundi lipi la kijamii kimapato? wko poa sana uchache siyo ishu kabisa.
MTM ..haya maswali mbona mengi mno??
Kindly punguza font na bold ndugu yangu, zinaumiza macho hizi ni too screamingJamani hivi wewe dada umesahau kuwa kuzaa bila ya kuelewa au nje ya ndoa ni haramu, sio vizuri kabisa ndio maana watu wengi hawapendi kuzaa nje ya ndoa kwa kuwa huyo mtoto hatakua na mapenzi ya pande zote mbili. Hebu muonee hururma huyo mtoto maana inawezekana akaenda kuishi na mama wa kambo ambaye ataolewa na huyo uliyezaa nae, je unafikiri atapewa matunzo bora kama vile wewe unavyotaka? Angali watoto wa nje ya ndoa wengi ndio hao ambao wanaomba omba huko mabara barani, hwana uhakika wa maisha na mara nyingi wamekua wakitengwa na kutopata mahitaji yao muhimu kama elimu, afya, mavazi, chakula nk. Na pia ndio chanzo tena cha yeye kuwa jambazi, malaya, watumiaji wa mihadarati, walevi n.k.
Habu tunafikiri hata dini zinavyosisitiza tuzae ndai ya ndoa walikosea? Jamani waliona mbali, chako utakipenda tofauti na cha mwenzio. Kumbuka sisi binadamu tumeumbwa kwa kuwa na ubinfsi, hii ni nature yetu (selfish) ndio maana mtu atakipenda kitu chake kuliko cha mwenzie. Kwa hiyo usijidanganye kama huyo mke wa jamaa atakuja mpenda huyo mwanao, kwanza ndioa atamchukia kwa sababu atajua akifa jamaa naye atarithi mali na pia hatapata matunzo bora na elimu nzuri
Tafakari na Chukua hatua. make sure that you make good decision ili usiumie hapo baadae na kumbuka pia majuto ni mjukuu
If you have a will then everythng is possible,may be you should tell JF members if there is other reasons behind that,if you do realy love each other then parents,relatives can not be an obstacle towards your wish.just stick to your plans and try to consult elders they might help you overcome tha obstacle.dont quite that relation.
Kindly punguza font na bold ndugu yangu, zinaumiza macho hizi ni too screaming
"Kwako Mpendwa baba/mama ushauri,
Pole kwa majukumu ya ujenzi wa taifa.Naomba ushauri kuhusu haya yafuatayo.Niko katika uhusiano imara kwa muda sasa.Sote hatujapanga kuoana ila tunapendana sana.Sijataka kuolewa kwa vile kuna kikwazo .Ndugu wa pande zote wamekataa katakata kuturuhusu kuoana.Sisi tumeona haina haja kubisha wala kuharibu mahusiano ya kifamilia kwa vile ndoa siyo ya mtu mmoja bali ya familia zote mbili.
Kwa vile tunapendana kupita kiasi, mwenzangu anataka nimzalie angalau mtoto mmoja kama kumbukumbu ya penzi letu.Mimi nina wasiwasi kwa vile najua fika hakuna uwezekano wa kuoana na huyu mkaka.Isitoshe sitataka kubeba jukumu la kulea peke yangu hata kama nitaingia gharama za kumlea mwanangu.Huyo mkaka anasisitiza kuwa atafurahi sana kama nitamzalia na atamkubali mtoto na kuwajibika ipasavyo.Hili kwa kweli linanipa tumaini lakini bado nina wasiwasi.
Naomba ushauri, Nimkubalie? Nitahakikishaje hatabadili mawazo mbele ya safari"
Sister L.
.