Count down to Kariakoo Derby 23/10/2020

Count down to Kariakoo Derby 23/10/2020

[emoji16]
FB_IMG_1666493599483.jpg
 
Usiku wa deni ni mfupi sana
Hayawi hayawi ...?
Hii si mada ya kutabiri mshindi kwakuwa tayari anajulikana[emoji881]...! Hii ni mada ya harakati kuelekea kilele cha Derby hii ninayoweza kusema ni maarufu na iliyoanzishiwa mada nyingi zaidi kuliko Derby nyingine yoyote

Huko mitandaoni
Huko kwenye vituo vya radio
Huko mitaani
Huko kwenye vijiwe vya kahawa nknk.. Kote ni mijadala, maandalizi, tambo na kila aina ya kituko..!

Rai yangu michezo ni furaha.. Basi tuiombee Derby hii ikawe ya furaha mpaka mwisho! Isiwepo ajali yoyote ya kusababisha huzuni na simanzi na kifo! Itokee ajali ya kufungwa tu na mtu afe kwa raha zake
Nakemea PEPO la ajali
Nakemea PEPO la kafara
Yakashindwe na kuteketea kuzimu
Wasafirio wote toka maeneo yote ya nchi wafike salama mchezoni na kurudi salama
Wasafirio angani (hata kwa ungo) maana hawakosekani
Wasafirio ardhini (hata kwa fisi) maana watakuwepo pia
Wasafirio majini na hata wa kiroho sala na maombezi yetu vi pamoja nao Aamen Inshallah..![emoji1545]

Leo ukiachana na vituko vya Derby, matukio mengine ya kupangwa na ya bahati mbaya yatakuwa mengi, mazuri na mabaya
. Kupoteza vitu vya thamani
. Kuibiwa
. Kuuziwa ticket banda
. Kutapeliwa kiingilio
. Kuchanga kwa ajili ya gari halafu lisitokee
. Kupotea kwa watu
. Kuwekwa mahabusu
. Kuliwa kimaskhara kisa furaha au kiingilio
. Watu kuzirai
Ukiambiwa leo kuna watoto watapatikana kisa hii derby[emoji23]

Mambo ni mengi na muda hautoshi.. Watu wako njiani muda huu.. Kuna wazamiaji watakuja Dar kwenye hii Derby na hawatarudi walikotoka

All in all itakuwa ni Derby ya kukumbukwa na wengi kwa mengi bila kusahau kero ya kukatwa umeme.. Leo kila mtu atauza
Kondom
Ngono
Chakula
Vinywaji vyote
Mafuta laini na mepesi na mazito
Vibendera
Jezi
Kapelo nknk
Ni siku ya kupata na ni siku ya kupoteza pia
Kuna talaka zitaletwa na hii derby mjue[emoji23]Tuwaombee sana
Ni kilele cha tambo kwa kila upande .. Tushiriki matukio na mikasa yake hapaView attachment 2395064
Amiiiin

Kila la heri SIMBA SC timu ya wenye akili timamu.
 
Ila Derby hii siku hizi inapoteza mvuto

Sema chura kayakanyaga leo
 
Huwezi amini leo nimekuota mtuwangu
 
Back
Top Bottom