FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwa heshima zote naomba kila itakapopatikana taarifa ya deni jioya lataifa, tuwe tunapeana taarifa on a step by step basis hadi deni litakapofika Trillion 100.
Pia napendekeza ile siku deni letu linagonga Trillion 100 tuweze kuangalia miradi mbali mbali iliyokamilishwa kwa mikopo iliyosababisha madeni hayo.., na siku hiyo inabidi iingizwe kwenye kumbukumbu ya siku muhimu za taifa letu tangu tupate Uhuru miaka 62 iliyopita.
Bila kusahau, juzi juzi tu hapa deni lilikuwa trillion 50, ila kwa sasa tumeshavuka 90 trillion.
Tarehe : __ / __ / ____