Kwa upande wangu huwa siwezi kulipa kisasi ila sasa kwa dunia hii (ambayo watu hawathamini na kuheshimu feelings za wenzao) kama mtu anaweza kulipa kisasi alipe tu kwa kweli....mtu kukuletea mapoz ukiwa deep in love alafu akuache tena bila sababu inauma asikwambie mtu jaman, muacheni tu kwa kulipiza hvi wengine hupata psychological relief
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.