LangatKipro
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 359
- 438
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo Johannesburg imepikwa balaa unaweza jamaa wako league yao kwakwel! !
Iyo Johannesburg imepikwa balaa unaweza jamaa wako league yao kwakwel! !
North Africa wanafanya poa sana kwenye mambo mengi,sisi hapa afrika mashariki ni washamba kwenye kila jambo
Tujipange upya tu....nenda SSC kwenye upande wa Barabara hutaona mkenya au mtz akipost barabara Za maana zaidi ya tano. ..lakini SA, ALGERIA, MOROCCO, Egypt Ni balaa...nilikua napita kuangalia yaani mzee tuasikitisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Unaweza jiuliza viongozi wetu nn wanafanya na usipate majibu...Hawa majirani zetu wana Thika highway right?Sasa wengine wanabarabara kama hizo sio chini ya 20 tena even betterWote hao AK na A.Kaskazini wametupita kwa mbali sana tu kiuchumi, hivyo ni sawa wao kufanya zaidi yetu!