Iyo Johannesburg imepikwa balaa unaweza jamaa wako league yao kwakwel! !
North Africa wanafanya poa sana kwenye mambo mengi,sisi hapa afrika mashariki ni washamba kwenye kila jambo
Iyo Johannesburg imepikwa balaa unaweza jamaa wako league yao kwakwel! !
North Africa wanafanya poa sana kwenye mambo mengi,sisi hapa afrika mashariki ni washamba kwenye kila jambo
Tujipange upya tu....nenda SSC kwenye upande wa Barabara hutaona mkenya au mtz akipost barabara Za maana zaidi ya tano. ..lakini SA, ALGERIA, MOROCCO, Egypt Ni balaa...nilikua napita kuangalia yaani mzee tuasikitisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Unaweza jiuliza viongozi wetu nn wanafanya na usipate majibu...Hawa majirani zetu wana Thika highway right?Sasa wengine wanabarabara kama hizo sio chini ya 20 tena even better