Hii itakuwa my dinner most of days
My dada mambo? Skuizi majira yamechenji, naona twapishana! Ndio kwanza naamka, asante kwa mentioning please keep it up! Next time tuelekeze kupika broccolli veggie soup please
U welcome....huyo angy atakutoa roho
Hii itakuwa my dinner most of days
hahahaaa farkhina wee acha tu natamani nibandike tatoo ya avatar yake hapa kwenye nanihii
Itakua poa sana no kitambi kuliko kula ubwabwa dinner
Itakua poa sana no kitambi kuliko kula ubwabwa dinner
hahahaaa farkhina wee acha tu natamani nibandike tatoo ya avatar yake hapa kwenye nanihii
na vitambi vingi vya bongo vinasabibishwa na ubwabwa na viporo daily
Asante mamie.
Yani nusra yangu ikifika nataka uwe somo yangu wa jikoni, unifunde nifundike kwenye mapishi.
MashAllah. Mungu akulipe thawabu kwa ilm unayotupa ya kuwaandalia waume zetu mambo mazuri.
Ibaki basi tu, lkn JF ni zaidi ya shule.
Thanks babibty
Besti hio kitu iko very colorful!! Umenipa utaalamu mpya hapa! Mungu akitufikiza salama, Ramadhan hii boss atajiona mambo mapya tu!!
Shukran habibty
Atupe thawabu kwa sote tuzidi kupendana..
Amiin....