mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
ulinifananisha...bana..mm kona bar sipajui..
Leo unamkana eeeh?
Niliwaona mmejificha kwenye Kona baa nikajua mnapendana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo unamkana eeeh?
Niliwaona mmejificha kwenye Kona baa nikajua mnapendana
Sasa wewe naona unataka kuniharibia raha yangu!
Hebu ngoja tukitoka hotelini kwenye zawadi yetu ndio ulete malalamiko yako na Mr Rocky mi niko najiandaa kuunganisha vifanyio vyetu na ma wife hahahaaaaa:smile-big:
Kaka Erickb52 naona unantafuta uchokozi na wake zangu wagombane ( ladyfurahia, vivian, Catherine na huyu mpya Mrembo by Nature)
...Sitaki kuwepo kwenye mashindano haya infakti kwa sababu hii ningeomba kuteuliwa kuwa mratibu mkuu wa mashindano haya.
Ama lasivyo unipambanishe na kina Madame B & Chimbuvu, Ben Saanane, Mjeda et al kwenye Best JF SACCOS couple.
Erickb52 mchakato urudiwe, huwezi kuwa judge wa kesi yako mwenyeweNikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!
Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni Mratibu hivyo na mimi nilikuwa mshiriki....!
Natangaza kuwa Erickb52 na Amyner ndio the best couple daima!
Tangu niingie moyoni kwa Amyner naye moyoni mwangu tumekuwa ni watu wenye furaha na wenye mapenzi ya kweli bila kujali umbea wa Bishanga na mkewe The secretary na uwepo wa nyumba ndogo kadhaa....amenivumilia sana! Chocs najua wanipenda sana ila usijali bado uko kwenye probation na kukidhi viwango vya uvumilivu kama Amyner
Nikiwa kama Mratibu naomba kuwataja washiriki wenzangu!
1. sweetlady na nitonye -Hawa Talaka ni nyingi sana
2. Bishanga na The secretary -Wambea sana na wanagombana kila kukicha
3. Filipo na marejesho -Mapenzi yao ya plastic
4. King'asti na Paw -Wanapendana kisa King'asti hataki ban na hajatulia.
5. watu8 na measkron -Hawaeleweki eleweki utadhani wanaiba
6. Arabela na zubedayo_mchuzi -Kila siku Arabela analalamika hatimiziwi haja zake
7. Ruttashobolwa na Passion Lady - Mh bado penzi lao changa
8. Mr Rocky na Dena Amsi -Hawafai kuigwa
9. Mr Rocky na Mamndenyi -Penzi changa bado
10. YNNAH na Judgement - Wanaonekana kama bado wako probation
11. sosoliso na Paloma ??????
12. gfsonwin na Kaizer -Penzi lao lilikuwa zamani
13. Mentor na Mrembo by Nature -Under ground bado
14. Madame B na Ben Saanane / Chimbuvu / nawengineo lol sio couple tena hii ni SACCOS!
15. Mungi na Lily Flower - Mara ya mwisho Naroki Mungi alijifanya hamjui mkewe lol
16. Remmy na PakaJimmy -Ilidumu kwa masaa mawili tu
17. stevoh na Zion Daughter -Hawa watasahaulika hadi siku ya ndoa yao! lol Samahanini sana!
18. Slave na Evelyn Salt -Jukwaa la wakubwa ndio linawatenganisha hawa jamaa
19. mimisa na KakaKiiza -Duh wanatongozana kila siku na hawafikii muafaka
Mwisho naomba kusema kama kuna couple haipo hapa ijue inasuasua sana na wachukue hatua. Arushaone nimeshindwa kujua wewe uko nanani au ndio King Mswati? kiwatengu utachonga sana..!
Naomba zawadi yangu Bishanga unipatie kabla ya lunch time.
Salamu zangu kwa Kipipi Nakupenda sana!
Copy kwa AshaDii na kiwatengu
"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!"
Hahahaaaa kweli aisee nilisahau duh
Kumbe na wewe umeunda SACCOS kama ya Madame B ?
Hahahahaaa ni balaa lazma watoane meno
Madame B, wahenga walisema, "Like sister like brother":high5:Mdogo wangu Mentor, usifuate nyayo za dada yako.
Mie dadako nimevuka mengi mpaka nimedumu na shemeji zako 6.
Mrembo by Nature usiwanyime wenzako haki yao. Nimeshaongea na Ben Saanane tuanzishe na sisi shindano letu. Am sure SACCOS yetu itashinda!!!Mimi ndio mpya, so unanishindanisha nae...hao wengine zilipendwa
Siwezi kukubali kuchanganywa na mtu, hiyo ni BIG NO. Kama vipi waache wao nibaki mimi, kama hutaki basiMrembo by Nature usiwanyime wenzako haki yao. Nimeshaongea na Ben Saanane tuanzishe na sisi shindano letu. Am sure SACCOS yetu itashinda!!!
Madame B, wahenga walisema, "Like sister like brother":high5:
Mrembo by Nature usiwanyime wenzako haki yao. Nimeshaongea na Ben Saanane tuanzishe na sisi shindano letu. Am sure SACCOS yetu itashinda!!!
gangamala shoga yangu, mbona mie nimeweza kudumu nao waume zangu 4?
Acha mdogo wangu Mentor aoneshe uanaume wake.
HahahahahahaaaMimi ndio mpya, so unanishindanisha nae...hao wengine zilipendwa