Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

au namie nihamie huko ?
 
si ndo maana namshangaa mdogo wangu Erickb52 hajaiweka kapo yetu?
mbona iko wazi kabisa

jamani soul mate wake na FP tafadhali njoo hapa ujiexpress maana erick52 amekubania, FP jifagilie mwaya ukisubiri kufagiliwa utastukia umekuwa ajuza looh
 
Last edited by a moderator:
jamani soul mate wake na FP tafadhali njoo hapa ujiexpress maana erick52 amekubania, FP jifagilie mwaya ukisubiri kufagiliwa utastukia umekuwa ajuza looh
umeona eeeh!
sikubali kabisa mpaka aitambue kapo yangu.....
sheshe ipo kwa teja, unafikiri utamwona hapa sasa? ana aibu balaa.
ila na mimi ndo nimeoooza za hizo aibu zake, lol!
 
Baadae tutatoa maamuzi magumu sana! Na
Asante mkuu Erickb52, hakika umeonyesha lile nililokuwa naliamini siku zote! umenirahisishia kazi sana... Chocs moyo wangu sasa uko wazi kabisa kwa wewe kuingia..njoo upate faraja na raha ulizozikosa kwa muda mrefu...
njoo nikupende sana..
Njoo upumzike!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…