Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!


Jamani wifi yangu mie hata sielewi huyu Erickb52 leo kaamka na za wapi mie nashangaa FP ameshamwambia mara kibao akanushe usemi wake ila ndo kwanza anafanya kichwa ngumu, sjui alikuwa hajui kuwa mie ni she, reference is made from previuos files pacha ako SnowBall ndo mwenye hati miliki kwangu sasa simwelewi Erickb52 anaposema mie na FP ni kapos cjui keshapata cha Arusha au Musoma.........???
 
Last edited by a moderator:
Mratibu feki,na matokeo ni zaidi ya feki! Erickb52 mratibu nani kasema,cheo ujipe mwenyewe,na ushindi pia, Bishanga usitoe zawadi mtanange urudiwe kwa haki,sikua na imani na huyu mratibu,kwanza walitakiwa wawe na shindano lao la jf saccos couple coz ni wengi hao wakeze,wenye mke mmoja na mme mmoja shindano ndio linatuhusu,mi sikubali ati,bora wangeshinda Bishanga na The secretary!dukuduku halijaisha nitarudi khaaaa
 
Last edited by a moderator:
ndo na mi nashanga my wee ahsante kwa ufafanyuzi! FP kuja huku sakapal kashatoa ufafanuzi Erickb52 hebu hizo ndyofu zako uzinywe taratiiiibu! FP mi sitaki upate shida ujue!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa FP nitakanushaje ukweli?
Kama kuna zawadi ya ban niko tayari ila sifuti kauli

Sio bure utakuwa zimedondoka baadhi kutoka kichwa cha juu na kuhamia kwenye visigino vyako. Ushaambiwa mie ni mke wa mtu humu SnowBall na wifi yake mtu hapa snowhite sasa unataka mahusiano yetu yavunjike? au umetumwa??
Haya na FP nae kakukosea nini? Nna waswas wewe ni mmoja wa wale wanaotoa lugha chafu kwenye jumba lile lililoko katikati ya nchi na linaloongozwa na mama ambaye jinalake linajulikana kama watoto wa ndege. Ntakuitia Mheshimiwa Kazi Ndu.... aite askari wake wakutoe nje ya jf kabisa usisikike. Invisible kama kuna lolote unaweza fanya juu ya huyu jamaa maana amejibu kwa jeuri zote yuko tayari kupata ban ila kauli yake hafuti, je jf inaruhusu kutukana na kukashifu watu? Kama hamna upendeleo moda pls naomba hatua za kinidhamu zichukuliwe.........
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaaa ina maana nimebug meeeen?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…