Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Dada FP tafdhali piga chini hii shemeji mashaka haijiamini kabisa, manake ipo siku atatakiwa kuwakirimu mashemeji japo kwa soda atakana kama Simon Petro at "si mimi" labda mwoneni TANMO!
huyu siyo shem kakangu......
ameshakuwa mdogo wangu kitambo
 
sasa mbona hukuniambia kuwa sakapal ni wifi yetu mpaka aje aseme mwenyewe?
hivi sakapal unajua mimi ndo dada mkubwa?

ah!
unaju nini dada mkubwa!
mi na pacha ndo rahisi kupiga mastory na wewe utakuwa umezidi kuwa mkali mpka SnowBall anakuogopa kukupa mastory ya town!
lakini hapana nakumbuka tulishaimba kamwali bwela bwela bana!enzi zileee tuko chit chat kwa saaana!
hebu retrieve ur memory bana!
ila hakijaharibika kitu au??
 
Last edited by a moderator:
ah!
unaju nini dada mkubwa!
mi na pacha ndo rahisi kupiga mastory na wewe utakuwa umezidi kuwa mkali mpka SnowBall anakuogopa kukupa mastory ya town!
lakini hapana nakumbuka tulishaimba kamwali bwela bwela bana!enzi zileee tuko chit chat kwa saaana!
hebu retrieve ur memory bana!
ila hakijaharibika kitu au??
unajua dadako nina mambo zaidi ya 100....
kumbukumbu ni sifuri kabisa....
yaani kitu nisichokisahau ni teja tu, mengine yote yanaumia....
ila hakijaharibika kitu mdogo wangu, kila kitu kipo sawa kabisa.
unajua ukali wa dada mkubwa ni kwa mambo ya maendeleo tu, sina mchezo na hayo, ila kuhusu mastory ya town msiwe mnaniogopa bana...... si unajua ninavyopenda story?
wifi yangu wa ukwee sakapal, usiniogope bana...... mimi ni the best wifi ever.
karibu sana kwetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom