Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

asante sana shemeji...ndo maana mimi nikimuona Jew wa Guatemala anamsogelea dada Paloma huwa nakuambia...

ha ha ha.. nakuaminia shemeji Mentor.. ila najua dada yako Paloma hawezi nisaliti kwa ajili ya huyo Jew wa Guatemala.. maana anipenda kipito cha ukomo..
 
Last edited by a moderator:
shukrani shem.....
yaani hata sikumwelewa Erickb52 ilikuwaje mpaka akafanya hivyo.
labda alidhani sakapal ni he.....
otherwise amenikosea sana kuniweka kwenye group la malesb

Hahahaaaaa
Halafu kweli nikajua ni Paul kumbe sakapal lol
Haya sakapal nisamehe wa kukubadili kifanyio kuwa cha kuning'inia badala ya cha kubandika.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha.. nakuaminia shemeji Mentor.. ila najua dada yako Paloma hawezi nisaliti kwa ajili ya huyo Jew wa Guatemala.. maana anipenda kipito cha ukomo..

babe wangu......watasubiri miaka mia tisaaaaa......:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:...hivi kwani Guatemala ipo wapi?
 
Hahahaaa
Aisee teja kakukaaa hadi raha
Nafurahi hata mi najua kuna mtu nimemkaa kichwani hadi hajisomi lol
kupenda na kupendwa ni raha sana mdogo wangu.....
hope huyo anayeshindwa kujisoma kwa ajili yako naye yupo kichwani kwako the same way
 
kupenda na kupendwa ni raha sana mdogo wangu.....
hope huyo anayeshindwa kujisoma kwa ajili yako naye yupo kichwani kwako the same way

Yeah ofcourse tena sana nabnahisi kuliko yeye
 
Back
Top Bottom