Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

By Nicas Mtei<br />
hahaha. Acha ndyofu. Mie cjambo? <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=48347" target="_blank">Amyner</a></b> umemwona lini mara ya mwisho?
<br />
<br />
Mwaka 2010 mpaka leo wala hajui alipo maskini ya mungu
Heheeeee
2010 sikuwa mwana JF
Umebuugi meeen
 
na mume wangu, halafu upunguze kuomba misaada mwanaume looh, utasaidiwa hadi nanihii

Heheheeee
Huoni km itakuwa poa.
Unajua ile kazi inachosha sana ndio maana wanaume wengine wakiwa kitandani na wake zao huwa wakali yan mtu analala saa moja ili asisumbuliwe baadae lol.
Nani anataka kuchoshana na uzee huu?
 
Back
Top Bottom