Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Kumbe ni Roho mtakatifu sio wewe
Hahhahaaa nilishangaa imekuwaje eti uzae na sweetlady lol

roho mtakatifu amefanya nini? Kitu nimetupia mwenyewe wavuni. We miaka yote hakuna hata matokeo chanya?
 
Last edited by a moderator:
ishakula kwako!
pamoja na ushawishi mkubwa niliokufanyia...
pamoja na manyanyaso makubwa ya maneno na vitendo toka kwa Erickb52, anatangaza kuwa wewe ni nyumba ndogo, bado umeng'ang'ania! what type of woman a u? mbona unawa aibisha wanawake wenzako kwa kukubali harasiment ya wazi kabisa?
Shauri yako, ikifikia wakati wa wewe kunihitajitaji! Nadhani mimi nitakuwa sikuhitaji...
Ila nimeamini Wanyiramba wagumu sana, na ndivyo mlivyo....

Hata Amyner alikuwa mvumilivu hata aliponifuma na Kipipi Remmy BADILI TABIA na wale wa wizi na hatimaye kaweza kufudhu couple bora ya JF
 
Last edited by a moderator:
Sikubaliani na ushindi huu hewa! Ni vigezo gani vimetumika? Ana interest kwenye hili hivyo hana sifa ya kuwa mratibu, pia ni wazi shindano halina masharti na vigezo vya kupata mshindi! Mchakato huu ni batili pamoja na ushindi! mimi na my Passion Lady tunapinga mchakato huu batili na ushindi batili
honey umeona eee!!yani full furugu shindano na mratibu wake,sijui muandaaji nae ni mafujo au vp! ila usijali sie ni washindi kila siku swr!!
Labda washindi mnaposhindana nyie kwa nyie Passion Lady kubalini matokeo tu
 
Last edited by a moderator:
roho mtakatifu amefanya nini? Kitu nimetupia mwenyewe wavuni. We miaka yote hakuna hata matokeo chanya?

Ningekuwa sijatupia si ungekuwa unamuona Amyner humu?
Chezea mie...na Kipipi nae muda si mrefu atapotea kimyakimya maana kishaitika tena wa KE
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom