Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Na wewe aje ujitangazie status pasipo mie kuniambia???
Hivi unajua mambo yanayoweza kukudisqualify hilo ni moja wapo?
Ebu jiangalie vizuri!

CC: FP snowhite AshaDii Mrembo by Nature

oh sorry my Kipipi nimetangaza status mapema ili kuweka ukuta, mijitu mingine isikufuatefuate kama akina Erickb52 , mana mi mchoyo sana kwenye hayo mambo
basi nisameh my dia twende step2
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom