Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha haaaa, lol!
sasa kifuani kwa mtu na simu/laptop?
mzee kasafiri...... ndo tunaskype hapa huku najiibia ibia jf
ha haaaa.....Ndoa za digitali mpaka raha.
ha haaaa, kumbe ngoma droo?
bora hata mimi naskype
ha haaaa.....
mimi digitali ni leo tu.... kesho narudi zangu analogy, lol!
ha haaa, umeona eeh!Hahah yaani hako ndo kameshakuwa kamtindo kwenu.
Labda muuze laptop!
Nimezipata ingawa kwa kuchelewa ila mwambie dada FP nashukuru kwa salamu...na kesho asisahau kunisalimia eeeeehNdo hivyo mwaya.
Kama sms zenyewe tu muda ukifika ikiingia tu hata kama nimetuma mdogo wako. . .ila we wazo la kwanza utajua ni teja.
Sumbuse skype kabisa inayokuonesha sura uloimiss?????? hahah
BTW, Erickb52 nadhani salamu zake keshazipata coz huyo hapo dirishani anachugulia.
Nimezipata ingawa kwa kuchelewa ila mwambie dada FP nashukuru kwa salamu...na kesho asisahau kunisalimia eeeeeh
Yan huwa nalala na JF mkononiHahahaa unajua nilikuona bado uko unachungulia tu.
Mi nikashangaa, manake we kaugonjwa kako bana . . . au ndo raha za Muller??
I give thanks to Allah mie niko mzima kabisa.
Waonaje hali yako?
Kuna couple mpya siku hizi, hujaziona kaka?Nikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!
Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni Mratibu hivyo na mimi nilikuwa mshiriki....!
Natangaza kuwa Erickb52 na Amyner ndio the best couple daima!
Tangu niingie moyoni kwa Amyner naye moyoni mwangu tumekuwa ni watu wenye furaha na wenye mapenzi ya kweli bila kujali umbea wa Bishanga na mkewe The secretary na uwepo wa nyumba ndogo kadhaa....amenivumilia sana! Chocs najua wanipenda sana ila usijali bado uko kwenye probation na kukidhi viwango vya uvumilivu kama Amyner
Nikiwa kama Mratibu naomba kuwataja washiriki wenzangu!
1. sweetlady na nitonye -Hawa Talaka ni nyingi sana
2. Bishanga na The secretary -Wambea sana na wanagombana kila kukicha
3. Filipo na marejesho -Mapenzi yao ya plastic
4. King'asti na Paw -Wanapendana kisa King'asti hataki ban na hajatulia.
5. watu8 na measkron -Hawaeleweki eleweki utadhani wanaiba
6. Arabela na zubedayo_mchuzi -Kila siku Arabela analalamika hatimiziwi haja zake
7. Ruttashobolwa na Passion Lady - Mh bado penzi lao changa
8. Mr Rocky na Dena Amsi -Hawafai kuigwa
9. Mr Rocky na Mamndenyi -Penzi changa bado
10. YNNAH na Judgement - Wanaonekana kama bado wako probation
11. sosoliso na Paloma ??????
12. gfsonwin na Kaizer -Penzi lao lilikuwa zamani
13. Mentor na Mrembo by Nature -Under ground bado
14. Madame B na Ben Saanane / Chimbuvu / nawengineo lol sio couple tena hii ni SACCOS!
15. Mungi na Lily Flower - Mara ya mwisho Naroki Mungi alijifanya hamjui mkewe lol
16. Remmy na PakaJimmy -Ilidumu kwa masaa mawili tu
17. stevoh na Zion Daughter -Hawa watasahaulika hadi siku ya ndoa yao! lol Samahanini sana!
18. Slave na Evelyn Salt -Jukwaa la wakubwa ndio linawatenganisha hawa jamaa
19. mimisa na KakaKiiza -Duh wanatongozana kila siku na hawafikii muafaka
20. sakapal na FP -Hawavumi ila wamo a.k.a Kimyakimya
Mwisho naomba kusema kama kuna couple haipo hapa ijue inasuasua sana na wachukue hatua. Arushaone nimeshindwa kujua wewe uko nanani au ndio King Mswati? kiwatengu utachonga sana..!
Naomba zawadi yangu Bishanga unipatie kabla ya lunch time.
Salamu zangu kwa Kipipi Nakupenda sana!
Copy kwa AshaDii na kiwatengu
"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!"
Nikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!

Aise ongeza hujui km na mie nimepata couple?