Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Aise ongeza hujui km na mie nimepata couple?
Mhh jirani umenisusa hata kule mtaani kwetu sikuoni au umehama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise ongeza hujui km na mie nimepata couple?
Mwaghona.......
bila kumtaja Asprin na wekeze, Erickb52 bado hujataja couples!nikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!
Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni mratibu hivyo na mimi nilikuwa mshiriki....!
Natangaza kuwa erickb52 na amyner ndio the best couple daima!
Tangu niingie moyoni kwa amyner naye moyoni mwangu tumekuwa ni watu wenye furaha na wenye mapenzi ya kweli bila kujali umbea wa bishanga na mkewe the secretary na uwepo wa nyumba ndogo kadhaa....amenivumilia sana! chocs najua wanipenda sana ila usijali bado uko kwenye probation na kukidhi viwango vya uvumilivu kama amyner
nikiwa kama mratibu naomba kuwataja washiriki wenzangu!
1. sweetlady na nitonye -hawa talaka ni nyingi sana
2. bishanga na the secretary -wambea sana na wanagombana kila kukicha
3. filipo na marejesho -mapenzi yao ya plastic
4. king'asti na paw -wanapendana kisa king'asti hataki ban na hajatulia.
5. watu8 na measkron -hawaeleweki eleweki utadhani wanaiba
6. arabela na zubedayo_mchuzi -kila siku arabela analalamika hatimiziwi haja zake
7. ruttashobolwa na passion lady - mh bado penzi lao changa
8. mr rocky na dena amsi -hawafai kuigwa
9. mr rocky na mamndenyi -penzi changa bado
10. ynnah na judgement - wanaonekana kama bado wako probation
11. sosoliso na paloma ??????
12. gfsonwin na kaizer -penzi lao lilikuwa zamani
13. mentor na mrembo by nature -under ground bado
14. madame b na ben saanane / chimbuvu / nawengineo lol sio couple tena hii ni saccos!
15. mungi na lily flower - mara ya mwisho naroki mungi alijifanya hamjui mkewe lol
16. remmy na pakajimmy -ilidumu kwa masaa mawili tu
17. stevoh na zion daughter -hawa watasahaulika hadi siku ya ndoa yao! Lol samahanini sana!
18. slave na evelyn salt -jukwaa la wakubwa ndio linawatenganisha hawa jamaa
19. mimisa na kakakiiza -duh wanatongozana kila siku na hawafikii muafaka
20. sakapal na fp -hawavumi ila wamo a.k.a kimyakimya
mwisho naomba kusema kama kuna couple haipo hapa ijue inasuasua sana na wachukue hatua. arushaone nimeshindwa kujua wewe uko nanani au ndio king mswati? kiwatengu utachonga sana..!
Naomba zawadi yangu bishanga unipatie kabla ya lunch time.
Salamu zangu kwa kipipi nakupenda sana!
Copy kwa ashadii na kiwatengu
"kujipenda ni pamoja na kuutunza mwili wako!
Acha ngono,ukimwi unaua!"
ena sebho, ghwalamsha?
Panandi
Mhh jirani umenisusa hata kule mtaani kwetu sikuoni au umehama?
Nipo ila tunapishana tu jirani wee
Mhh au umenunua gari jeusi jirani?
Hahaaa wala jamani
Dah enzi hizo jamaniNikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!
Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni Mratibu hivyo na mimi nilikuwa mshiriki....!
Natangaza kuwa Erickb52 na Amyner ndio the best couple daima!
Tangu niingie moyoni kwa Amyner naye moyoni mwangu tumekuwa ni watu wenye furaha na wenye mapenzi ya kweli bila kujali umbea wa Bishanga na mkewe The secretary na uwepo wa nyumba ndogo kadhaa....amenivumilia sana! Chocs najua wanipenda sana ila usijali bado uko kwenye probation na kukidhi viwango vya uvumilivu kama Amyner
Nikiwa kama Mratibu naomba kuwataja washiriki wenzangu!
1. sweetlady na nitonye -Hawa Talaka ni nyingi sana
2. Bishanga na The secretary -Wambea sana na wanagombana kila kukicha
3. Filipo na marejesho -Mapenzi yao ya plastic
4. King'asti na Paw -Wanapendana kisa King'asti hataki ban na hajatulia.
5. watu8 na measkron -Hawaeleweki eleweki utadhani wanaiba
6. Arabela na zubedayo_mchuzi -Kila siku Arabela analalamika hatimiziwi haja zake
7. Ruttashobolwa na Passion Lady - Mh bado penzi lao changa
8. Mr Rocky na Dena Amsi -Hawafai kuigwa
9. Mr Rocky na Mamndenyi -Penzi changa bado
10. YNNAH na Judgement - Wanaonekana kama bado wako probation
11. sosoliso na Paloma ??????
12. gfsonwin na Kaizer -Penzi lao lilikuwa zamani
13. Mentor na Mrembo by Nature -Under ground bado
14. Madame B na Ben Saanane / Chimbuvu / nawengineo lol sio couple tena hii ni SACCOS!
15. Mungi na Lily Flower - Mara ya mwisho Naroki Mungi alijifanya hamjui mkewe lol
16. Remmy na PakaJimmy -Ilidumu kwa masaa mawili tu
17. stevoh na Zion Daughter -Hawa watasahaulika hadi siku ya ndoa yao! lol Samahanini sana!
18. Slave na Evelyn Salt -Jukwaa la wakubwa ndio linawatenganisha hawa jamaa
19. mimisa na KakaKiiza -Duh wanatongozana kila siku na hawafikii muafaka
20. sakapal na FP -Hawavumi ila wamo a.k.a Kimyakimya
Mwisho naomba kusema kama kuna couple haipo hapa ijue inasuasua sana na wachukue hatua. Arushaone nimeshindwa kujua wewe uko nanani au ndio King Mswati? kiwatengu utachonga sana..!
Naomba zawadi yangu Bishanga unipatie kabla ya lunch time.
Salamu zangu kwa Kipipi Nakupenda sana!
Copy kwa AshaDii na kiwatengu
"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!"
Ngoja niufufue huu uzi watu waje na vitambulisho vyao vya zamani.
Kama uko hapo juu kwenye list ya kapoz hata kama sasa hivi una kitambulisho kingine wee sema tuu na mie nilikuwepo enzi hizo.
Enzi hizo nilikuwa Kasinde.
Mimi nilikuwa Kasiba!
Umenikumbusha enzi za Monkey Pie....
Honey Bunny.....
Ngabu Pie wa Hedi aahahahahhahahahaaaa
Those days. ....
Nsudbbjxjdndjdnzjjss
Nsjsjshjshdhdndd
Nsjsjshjshdhdndd
Hsjsjjsjsjdjdjd
Fcuk you.