Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Habari wadau,kuna couple ukiingalia yani haiendani kabisa na uharisia yani unakuta jama ana sura ngumu ila anamiliki chombo moja ya hatari.
Watu wengi wenye pesa hujikuta wakimiliki mademu ambao hawaendani nao kabisa yani kama we ni mchizi fulani handsome unakuta demu wa jamaa anakuelewa ile mbaya kuliko mchizi wake.
Binafsi naona Majizo asingekuwa na pesa na umaaerufu asingekuwa na Lulu ila list ni ndefu sana unaweza kuongeza.