Couple gani bila nguvu ya pesa isingekuwepo?

Couple gani bila nguvu ya pesa isingekuwepo?

Wanawake wanasubiri kwenye finish line ili waondoke na mshindi, mwanaume ukifika hapo kwenye finish line ukiwa mshindi usiangaike kutafuta mapenzi ya kweli.

kazi yako iwe kutafuta mwanamke mwenye standards unazozitaka na ataweza kuongeza kitu kwenye lengo la maisha yako. Don't beg, negotiate.

Dhumuni la kupambania mafanikio ni ili uwe na uhuru wa kuchagua kilicho bora amongst the rest.

Anyway, cuople ambazo zisingeweza kuwepo bila pesa au umaarufu ni cuople zote za diamond platnumz kuanzia wema sepetu na kuendelea.
 
Wewe unaweza sema nguvu ya pesa kumbe mwenzio na sura lake gumu anasimamia ukucha kama hakuna kesho.

Nilikuwaga na demu mmoja wa kikenya, alikuwa na visenti vyake vya wastani na alinizidi umri kiasi.

Ila bi dada alikuwa na sura moja personal, nina yakini mtu pekee aliyewahi msifia kuwa mzuri itakuwa ni mama yake mzazi.

Wengi waliamini nilikuwa nae sababu ya pesa ila ukweli yule binti alikuwa na mashine moja mnato na ya moto sijawahi ona. Ukienda kizembe unaweza kojoa ndani ya sekunde. Yule binti Okello alikuwa anafinyia kwa ndani unakuta kidume unagugumia kwa ndimi kwa ule utamu.

Sio kila mwenye pesa anapendewa pesa, wengine wanapendewa ufundi.

Ila kujibu swali lako, couple ambayo sijawahi amini kuwa ili exist naturally ni ya Steve Nyerere na Wellu Sengo. Najua haikuwa sababu ya pesa maana Steve alikuwa kapuku bado na nina mashaka makubwa kuhusu kusimamia ukucha kwa Bw. Steven maana kutwa anajihusisha na mambo ya kina mama.
Hivyo kuacha conclusion moja tu, alitumia ndumba.

View attachment 3085450

View attachment 3085451
Kajamaa mwili wake wote ndo paja moja la Welu sijui kalipiga kwa style ipi,

Steve anaonekana ana ushawishi na anajua akili za watoto wa kike usishangae demu akakutosa wewe na mbwemnmbwe zako akampea Steve usimchukulie poa kabisa
 
Back
Top Bottom