my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Ndio kina nani hao? weka picha yao.Sam Magere na Zuwena aisee hii Couple haijawahi kutokea.
Eee gay couple? kwani na wewe ni jamii hiyo?Elton john na mwenzie
Umeona eh! Eti Kanye West akiachana na mkewe jamaa wanaumia... Hawa ndio wanaotegemewa kujenga viwanda ili nchi hii ifikie uchumi wa kati!...Watu wametekwa kiakili mpaka wanasema wataumia watu walio mbali maelfu ya kilomita wakiachana! Ama kweli utumwa wa akili ni mbaya mno.