my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mimi Kim Kardashian na Kanye West. Napenda sana hii couple wanapendana sana pia wanapendezana pamoja kim ana mpenda sana Kanye na Kanye vile vile. Siku nikija kusikia hii couple imevunjika itaniuma sana kupitia maelezo. Wewe ni couple ya watu maarufu gani ikivunjika itakuuma?