Couple goals - tag couple(s) ambao unawa-admire sana JamiiForums na duniani kote

Mwijaku & Alice
(pamoja na kujitoa akili lakini kwa mkewe anatulia na anaheshimu familia)

Nahreel & Aika{Navy kenzo}
(Hawa wapewe maua yao wamedumu miaka nenda rudi na hustle pamoja licha ya kuwepo mikwaruzo lakini wameshida vikwazo kama wanavyodai kwenye interview zao)

KENGE 01 & Mama kinje
Bado sijampata lakini nikimpata tutadumu sana na mtoto wa kwanza ataitwa kinjekitile nami ntaitwa Baba kinje
 
picha plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…