Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu we ndo star wa jf kwasasa..Khakhakhaaaa ebu nicheke kwanzaa mieeee jf sihamiiiiii [emoji126][emoji126]!!
Brother brother.Tuweke historia basi babe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niutoe wapi huo ustar lol sina ustaa wowote mkuu!! AsanteAfu we ndo star wa jf kwasasa..
Mbona unachimbua visiki mashambani mwa watu mzab?🤣Weee mambo gani kunitangaza sasa.
Kwanza wee unatoka na nani
Kubali yaisheNiutoe wapi huo ustar lol sina ustaa wowote mkuu!! Asante
Mkuu niwakumbushe ile kapo yenu?😂Sio kosa lenyu
Chamdekozi😂😂Hapana sio mimi kabisa ile ilikuwa mtu mwingine
SAsa wewe wembe wa super utatajwa na wangapi uliowanyoa kijana?🤣🤣🤣🤣Imeisha hiyo....😜😜
Enzi hizo ndio passo zimeingia bongo....😂😂
Awiaman ooza anatuwangia eti ulinizawadia????Kunani hapa?
kumbe mzabzab ana babe humu na hamsemiTunapoongelea maswala ya mahusiano, haijalishi tunaonana au hatuonani, lakini tunafahamiana.
Zama zile za kukutana Kebby's na Leo Tupo Hapa, zilitufanya tuwe kama ndugu huku kukiwa na Arusha Wing na Dar Wing.
Arusha Wing walitia fora kwani waliweza kuwakaribisha Dar Wing mkoani Arusha mara kadhaa huku wakiwaweka kwenye hoteli nzuri, vyakula bora, vinywaji na mbususu pia wana Dar es Salame walihudumiwa.
Kipindi kile kulikuwa na mahusiano yaliyobamba sana. Wengine walienda mbali zaidi hadi wakafunga pingu za maisha.
@ Mwita Maranya na mwaJ, walibamba sana. Hii ilikuwa bonge ya couple.
Kipaji Halisi na Madame B, huyu jamaa alikuwa anapenda sana mpira, umbo lake dogodogo tu, lakini ana push bonge la jimama. Madame B ni mzigo wa kwenda sio kitoto. Mbwata imekaa kwa kutulia, unaweza kuweka laptop yako ukaendelea na kazi zako asipojitingisha.
cacico na Kiranja Mkuu, huyu dada alipotelea wapi sijui, lakini mara ya mwisho nilikutana naye Karen Blixen Nairobi, aisee alikuwa ni mzuri ile mbaya.
suzy na Sumbalawinyo, huyu jamaa alikuwa mtata sana akitokea Sumbawanga, akajijuta amebeba bonge la toto.
Hizi couple za Sky Eclat na Asprin , Nyani Ngabu na Miss Natafuta, mzabzab na To yeye ni mpya sana aisee.
Unahamajee kwa mfanoo shooouzzzz? Afu unaniacha na naniii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khakhakhaaaa ebu nicheke kwanzaa mieeee jf sihamiiiiii [emoji126][emoji126]!!
Jf tupo sana kipenzi hatutrokii ng'ooooo😘😘😘😘😘!!Unahamajee kwa mfanoo shooouzzzz? Afu unaniacha na naniii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]