Dadii
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 749
- 1,158
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HOE....Heaven On Earth mtu wangu sana sijui yuko wapi??
Tuanzishe couple yetu basi na mim niwe na baby!Hongera yao wanaopata mabwana humu, tumetofautiana kweli.
😂😂😂Yani To yeye atoke na mzabzab mhhhh jamani acheni kumpakazia dada angu.Tunapoongelea maswala ya mahusiano, haijalishi tunaonana au hatuonani, lakini tunafahamiana.
Zama zile za kukutana Kebby's na Leo Tupo Hapa, zilitufanya tuwe kama ndugu huku kukiwa na Arusha Wing na Dar Wing.
Arusha Wing walitia fora kwani waliweza kuwakaribisha Dar Wing mkoani Arusha mara kadhaa huku wakiwaweka kwenye hoteli nzuri, vyakula bora, vinywaji na mbususu pia wana Dar es Salame walihudumiwa.
Kipindi kile kulikuwa na mahusiano yaliyobamba sana. Wengine walienda mbali zaidi hadi wakafunga pingu za maisha.
Mwita Maranya na mwaJ, walibamba sana. Hii ilikuwa bonge ya couple.
Kipaji Halisi na Madame B, huyu jamaa alikuwa anapenda sana mpira, umbo lake dogodogo tu, lakini ana push bonge la jimama. Madame B ni mzigo wa kwenda sio kitoto. Mbwata imekaa kwa kutulia, unaweza kuweka laptop yako ukaendelea na kazi zako asipojitingisha.
cacico na Kiranja Mkuu, huyu dada alipotelea wapi sijui, lakini mara ya mwisho nilikutana naye Karen Blixen Nairobi, aisee alikuwa ni mzuri ile mbaya.
suzy na Sumbalawinyo, huyu jamaa alikuwa mtata sana akitokea Sumbawanga, akajijuta amebeba bonge la toto.
Hizi couple za Sky Eclat na Asprin , Nyani Ngabu na Miss Natafuta, mzabzab na To yeye ni mpya sana aisee.
Haa wapi, nenda kule kwenye jukwaa la mapenzi utapata couple.Tuanzishe couple yetu basi na mim niwe na baby!
Tufunike wote, mahaba ya pwani waje wajifunze kwetu!Haa wapi, nenda kule kwenye jukwaa la mapenzi utapata couple.
😘😘😘Ni wewe pekee uniaminie.Barikiwa mno
😁😁😁😁Wengine Sasa hivi wako wanakula mbaazi tu Kila siku mpaka mwisho wa uhai wao
Yani dada angu nashangaa wameshindwa kukusingizia mtu mwingine au hata wangesema Manyanza au mchepuko wa Bujibuji Simba Nyamaume ety wanamsema huyo kitombile 😂😂😂😘😘😘Ni wewe pekee uniaminie.Barikiwa mno
Kaka yangu mzabzab sio kitombile kwanza kaokoka😬Yani dada angu nashangaa wameshindwa kukusingizia mtu mwingine au hata wangesema Manyanza au mchepuko wa Bujibuji Simba Nyamaume ety wanamsema huyo kitombile 😂😂😂
Buji siyo mchepuko plzz.... manyanza labdaYani dada angu nashangaa wameshindwa kukusingizia mtu mwingine au hata wangesema Manyanza au mchepuko wa Bujibuji Simba Nyamaume ety wanamsema huyo kitombile 😂😂😂
Hana makali siku hizi wewe jipongeze kwa hilo my WiiiKapoa kweli sikuhizi...itakuwa kweli ni newborn