Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Binafsi niliuona ila ikafika mda page zikawa zinaenda mbele zinarudi nyuma nikawa sielewi kumbe baadhi zilikuwa zinafutwa πŸ˜„
Ndio mkuu mwisho ulifutwa ila kimbembe zile id hazionekani najua wamebadili Id ili wausambaze zaidi kwanza yule kidume muhusika alionekana hajutii kuambukiza mke wa humu wenye tamaa
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀸🀸🀸🀸🀸Mi simo.... mchongo mzima anaujua Lovelovie
 
Mim id zangu zote zinajulikana ndo tatizo πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mim id zangu zote zinajulikana ndo tatizo πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtoto una ubuyu wewe, sema sina ID nyingine ningekwambia nipasie, niumwage kama ulivyo... watu waumung'unye tu.
Sasa tunafanyaje jamani πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
 
Nakuuzia yangu one time nikipigwa ban itajua yenyewee🀣🀣!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…