Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Ndio mkuu mwisho ulifutwa ila kimbembe zile id hazionekani najua wamebadili Id ili wausambaze zaidi kwanza yule kidume muhusika alionekana hajutii kuambukiza mke wa humu wenye tamaaBinafsi niliuona ila ikafika mda page zikawa zinaenda mbele zinarudi nyuma nikawa sielewi kumbe baadhi zilikuwa zinafutwa π