Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kanajikutaga sana yani lazima kaite watetezi wakee nao kama mazombie vileer utayaona hayooooo!!Kenyewe hakawezi, kakusanya matahaira wa kiume na wa kike ndiyo huwa wanamsaidia. Utaona tu na utaniamini. Hao wanaume waliojiunga naye nawaonaga mahanithi tu. Dume huwezi kuwa kwenye mambo ya kike. Nilishapiga block wote...
Kanwapelekesha kweli hadii watu hata hamjawahi kugombana nao au kupishana kivyovyote humu unashangaa wanakuvamia majungu kama yote !!