Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Kenyewe hakawezi, kakusanya matahaira wa kiume na wa kike ndiyo huwa wanamsaidia. Utaona tu na utaniamini. Hao wanaume waliojiunga naye nawaonaga mahanithi tu. Dume huwezi kuwa kwenye mambo ya kike. Nilishapiga block wote...
Kanajikutaga sana yani lazima kaite watetezi wakee nao kama mazombie vileer utayaona hayooooo!!
Kanwapelekesha kweli hadii watu hata hamjawahi kugombana nao au kupishana kivyovyote humu unashangaa wanakuvamia majungu kama yote !!
 
Code zinaondoa Radha ya Uzi bwana.

Kwani kuna tabu gani kusema Antonia alikuwa kapo ya kapachino??

Antonnia mnatupa Kazi sana. Au mnataka nasisi tupewe syphilis na Bacteria
Wee Jichanganye tyuu nakuona onaaaπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸ€­πŸ€­!!
Jifanye tu unajua kutumia Dyudyu yako kuliko wengine humu utajua hujui!!
 
Hii code ya US pekee mmeniacha njia panda ya Himo nashoiya tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Yule bwana yule nahis atakua mchicha mwiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…