Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Njema sana mamy hakii tumefurahi sana kukuona tena jf !! Umenirudisha enzi hizoooo Jf !
I'm so pleased to see you again HOE!
Hivi hawa waliishia wapi aisee? Walisumbua sana, kutagiana kwa sana. But nowadays I don't see them anymoreSmart 911 na @Mahindaw?
Nahitaji kupenzika na wewe.. 🥰🥰Aww Nakupenda pia Call me Solo 😍😍
Andika H.O.E please lakini the way umeandika wewe inaleta maana mbaya sana kwa sisi wadukuziNjema sana mamy hakii tumefurahi sana kukuona tena jf !! Umenirudisha enzi hizoooo Jf !
I'm so pleased to see you again HOE!
EheeeeWeee😳,Kuna muda unaweza ukawa unang'ang'ana kitu hukipati kumbe Mungu anakuepusha