Nhoja nifunge mkandaUnakwama sana siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nhoja nifunge mkandaUnakwama sana siku hizi
Wengine tulikua watazamaji watu wakibebishanaTunapoongelea maswala ya mahusiano, haijalishi tunaonana au hatuonani, lakini tunafahamiana.
Zama zile za kukutana Kebby's na Leo Tupo Hapa, zilitufanya tuwe kama ndugu huku kukiwa na Arusha Wing na Dar Wing.
Arusha Wing walitia fora kwani waliweza kuwakaribisha Dar Wing mkoani Arusha mara kadhaa huku wakiwaweka kwenye hoteli nzuri, vyakula bora, vinywaji na mbususu pia wana Dar es Salame walihudumiwa.
Kipindi kile kulikuwa na mahusiano yaliyobamba sana. Wengine walienda mbali zaidi hadi wakafunga pingu za maisha.
Mwita Maranya na mwaJ, walibamba sana. Hii ilikuwa bonge ya couple.
Kipaji Halisi na Madame B, huyu jamaa alikuwa anapenda sana mpira, umbo lake dogodogo tu, lakini ana push bonge la jimama. Madame B ni mzigo wa kwenda sio kitoto. Mbwata imekaa kwa kutulia, unaweza kuweka laptop yako ukaendelea na kazi zako asipojitingisha.
cacico na Kiranja Mkuu, huyu dada alipotelea wapi sijui, lakini mara ya mwisho nilikutana naye Karen Blixen Nairobi, aisee alikuwa ni mzuri ile mbaya.
suzy na Sumbalawinyo, huyu jamaa alikuwa mtata sana akitokea Sumbawanga, akajijuta amebeba bonge la toto.
Hizi couple za Sky Eclat na Asprin , Nyani Ngabu na Miss Natafuta, mzabzab na To yeye ni mpya sana aisee.
Wanakusingizia sana mkuu, inabidiufanye kweli[emoji16][emoji16]Nhoja nifunge mkanda
itakuwa majungu tu 😅😅 kuna kipindi kuna ka upepo kalipita humuHuyo mwalimu kuna kipindi alitibuanaga na amu kama sikosei. Mweeeh kaugovi kalihit 😀
😁😁😁 Ya uongo hiyo hata jina hukumbukiKapo yako na yule dogo msabato, jina lake linakuja na kusepa!
Jana sijui nilipitwaje nahuu ubuyu ukiwa bado wamotro kabisa lol ndio nauona Leo ushapoaa hadi ukapoa tena 🤣🤣🤣🤣🤣!!Kumbe tumepitwa na mengi humu
Hivi wewe ulikua na wangapi etiUnajua Nilitaka nikuite nikuseme mbona hukuniita huu ubuyu ovokua hoooootttttt shougaaangu lakini???
😂😂😂🙌
🤣🤣🤣 Nikasema...tobaaa🙆 nimepona Gonoooo🤸🤸🤸🤸🤸Jana sijui nilipitwaje nahuu ubuyu ukiwa bado wamotro kabisa lol ndio nauona Leo ushapoaa hadi ukapoa tena 🤣🤣🤣🤣🤣!!
Ngoja nifuatilie convo fulani kwanzaaa😂😂😂😊!! madam akee To yeye ndio mkala ubuyu pekeenu jamani!! sijapentaa🤭
Bado Nasoma koments 🙇🙇🙇🤣🤣Alaf huyo mdada wa Arusha huyo alitembea tena na yule mwenye anacomment fupifupi zinafanana karibia kila uzi waakambukizana gono.😂😂😂😂😂😂