Couple mpya mjini, Aslay na Rubi

Couple mpya mjini, Aslay na Rubi

Ila wote ni wanawake na wanapigika mbupu
Hayo yako maana si kila mwanamke anapigika P maana kuna wengine wana tundu la kukojolea tu. Hivyo generalisation ni hatari. Ni sawa na kusema kila mwanaume anakula k wengine hazisimami hivyo hawawezi kula K
 
Kwahiyo yule mtu mmbea kuliko wote TZ (Soud Brown) kamwagwa au yeye ndio kammwaga ???
 
Dah sijui Ndio uzee au ushamba siwajui ndio kina nani hao?
 
saiv naona fashion ya girls kutoka na madogo kana kwamba wanajua shughul kwa bed
 
Daaah hii too much asee [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] yaani hii ndo couple ambayo haiendani hata punje, mfyuuu bora Asley angeendelea na mzazi mwenzake Tess chocolate yuko vizur yule mdada ila Ruby pyuu cjui kwann moyo wangu haumpendi huyu Dada Mungu anisamehe[emoji124] [emoji124]
 
hamna mapenzi hapo ni project ya ngoma yao mpya so wanaitaftia kiki kimapenzi
 
002ad4ff9df42f287c3ec658c667df4e.jpg

Mm kwangu the best couple in town ni hiyo, kwanza kabisa wanaendana pili ni wadogo lakin wanajielewa hawana show off na kiki za kijinga jinga , Nimewapenda bure
 
Cha ajabu nini hapo sasa kwani hamjui kazi ya kinu na mtwangio?
 
Back
Top Bottom