Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189

Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.

Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.

Haji
na Zai wamekutana wote waluwalu /mapepe, Zai bado anajitafuta na anapenda yale maisha ya gharama maana akijicheki kajina kanakua na hana mia nyekundu kuendana na umaarufu unaoendelea kukua kila kukicha Sasa kuwa na mtu kama Haji ni mtu sahihi sana kwake kwa kipindi hiki maana Haji ni hodari mno wa kuhonga na ni mpenda starehe sana ,ila tu ni limbukeni mkubwa wa mapenzi.

Kwa hiyo muunganiko wa hawa wawili utakuwa na nguvu na utavutia ila tu usifikr mpaka hatua ya ndoa.

 
Sio limbukeni ni mshamba wa mapenzi na hakika hakustahili hata kuwa msemaji wa timu yoyote hapa nchini sababu ya nidhamu kwenye jamii kuwa haifai kuigwa na yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…