Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara ni saa mbovu,atapoteza majira mda si mrefu kwenye mapenzi.
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.
Haji na Zai wamekutana wote waluwalu /mapepe, Zai bado anajitafuta na anapenda yale maisha ya gharama maana akijicheki kajina kanakua na hana mia nyekundu kuendana na umaarufu unaoendelea kukua kila kukicha Sasa kuwa na mtu kama Haji ni mtu sahihi sana kwake kwa kipindi hiki maana Haji ni hodari mno wa kuhonga na ni mpenda starehe sana ,ila tu ni limbukeni mkubwa wa mapenzi.
Kwa hiyo muunganiko wa hawa wawili utakuwa na nguvu na utavutia ila tu usifikr mpaka hatua ya ndoa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanamke akishakuzidi urefu tu hilo ni tatizo teyari.
NdioHV huyu Manara kaachana na wake zake wote Kwa sasa Hana mke?
Kumbe bado ana mke? Mi nikajua alishapiga chini wote, anakula maisha
Ukute wewe ni mwanaume alafu unaongelea couple za watu... daaah
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.
Haji na Zai wamekutana wote waluwalu /mapepe, Zai bado anajitafuta na anapenda yale maisha ya gharama maana akijicheki kajina kanakua na hana mia nyekundu kuendana na umaarufu unaoendelea kukua kila kukicha Sasa kuwa na mtu kama Haji ni mtu sahihi sana kwake kwa kipindi hiki maana Haji ni hodari mno wa kuhonga na ni mpenda starehe sana ,ila tu ni limbukeni mkubwa wa mapenzi.
Kwa hiyo muunganiko wa hawa wawili utakuwa na nguvu na utavutia ila tu usifikr mpaka hatua ya ndoa.
Mkitembea anakuwa kama anakuvusha barabara[emoji1]Mwanamke akishakuzidi urefu tu hilo ni tatizo teyari.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkitembea anakuwa kama anakuvusha barabara[emoji1]
Kuna stage aliiruka katika makuzi yake,ndio ameamua kuiishi sasa.Anafanya mambo ambayo alitakiwa kuyafanya miaka 35 kurudi nyuma.
Mbingu ngumu sana kwako! 😂😂Mkitembea anakuwa kama anakuvusha barabara[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuombeane kwa kweli....Mbingu ngumu sana kwako! [emoji23][emoji23]
Nimecheka sana! [emoji1787]
Mkigombana anaweza kukulamba konzi vizuri🤣🤣🤣 unakabiwa juuMkitembea anakuwa kama anakuvusha barabara[emoji1]
Kwa mbali mtu anaweza kudhani ni namba 10 inatembea.Mwanamke akishakuzidi urefu tu hilo ni tatizo teyari.
Nasubiri kuona mwisho
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.
Haji na Zai wamekutana wote waluwalu /mapepe, Zai bado anajitafuta na anapenda yale maisha ya gharama maana akijicheki kajina kanakua na hana mia nyekundu kuendana na umaarufu unaoendelea kukua kila kukicha Sasa kuwa na mtu kama Haji ni mtu sahihi sana kwake kwa kipindi hiki maana Haji ni hodari mno wa kuhonga na ni mpenda starehe sana ,ila tu ni limbukeni mkubwa wa mapenzi.
Kwa hiyo muunganiko wa hawa wawili utakuwa na nguvu na utavutia ila tu usifikr mpaka hatua ya ndoa.
Hana hata mke mmoja, wale wake zake wawili wa mwanzo walivyodai talaka Kwa pamoja na wakaolewa tena.....walimpa kichaa cha mapenzi, anavitumia vibinti vya watu kujipoza maumivu, Ila hana mapenzi navyo.Kumbe bado ana mke? Mi nikajua alishapiga chini wote, anakula maisha
Huyu zayLisa si ni mke wa msanii wa muziki wa Singeli aitwae Dulla Makabila (kama sijachanganya majina)!! Anaoanaje tena na Manara?
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.
Haji na Zai wamekutana wote waluwalu /mapepe, Zai bado anajitafuta na anapenda yale maisha ya gharama maana akijicheki kajina kanakua na hana mia nyekundu kuendana na umaarufu unaoendelea kukua kila kukicha Sasa kuwa na mtu kama Haji ni mtu sahihi sana kwake kwa kipindi hiki maana Haji ni hodari mno wa kuhonga na ni mpenda starehe sana ,ila tu ni limbukeni mkubwa wa mapenzi.
Kwa hiyo muunganiko wa hawa wawili utakuwa na nguvu na utavutia ila tu usifikr mpaka hatua ya ndoa.
Bora ubaki Itigi, mjini unaleta sana fujo 😂😂Kwa mbali mtu anaweza kudhani ni namba 10 inatembea.