Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

Manara ni saa mbovu,atapoteza majira mda si mrefu kwenye mapenzi.
 
Ukute wewe ni mwanaume alafu unaongelea couple za watu... daaah
 
Manara anaonekana alipata shida sana kumiliki piskali miaka ya nyuma kwahy kwasas anatumia nafas aliyoipata, ni kama diamond anavyo watumia wanawake wengi ni kutokana na kuumuizwa sana enzi hizo hana uwezo wa kumiliki ziliznyooka
 
Nasubiri kuona mwisho
 
Kumbe bado ana mke? Mi nikajua alishapiga chini wote, anakula maisha
Hana hata mke mmoja, wale wake zake wawili wa mwanzo walivyodai talaka Kwa pamoja na wakaolewa tena.....walimpa kichaa cha mapenzi, anavitumia vibinti vya watu kujipoza maumivu, Ila hana mapenzi navyo.
Atafute msaada wa kisaikolojia.
 
Huyu zayLisa si ni mke wa msanii wa muziki wa Singeli aitwae Dulla Makabila (kama sijachanganya majina)!! Anaoanaje tena na Manara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…