8/10 Very good KOKUTONA
natamani kulala...natamani kuwepo CC lol.......
Kumbe mie kajinias kadogo.
Naona Vin Diesel anawarusha roho...mtaalamu huyo wa kuteka nyoyo za watu, akishajua umempa moyo wote, huyoooooo anasepa mazima.
Then wapi rutta & Passion Lady?
wii ata mie aisee naona shemejio Arushaone alikuwa anaangalia mpira now amekuja kwa bed ngoja tuikemee baridi.
Usiku mwema wii, KOKUTONA na my Vin Diesel
Kumbe mie kajinias kadogo.
Naona Vin Diesel anawarusha roho...mtaalamu huyo wa kuteka nyoyo za watu, akishajua umempa moyo wote, huyoooooo anasepa mazima.
hahahaaa.... Mi namjua huyo ndio maana nikaenda olewa zangu mapemaa
wii ata mie aisee naona shemejio Arushaone alikuwa anaangalia mpira now amekuja kwa bed ngoja tuikemee baridi.
Usiku mwema wii, KOKUTONA na my Vin Diesel
Na mie namuona babe figganigga hapa na leo nilimtengenezea
supu ya pweza......mechi si ya kitoto leo
KOKUTONA we hulali!!!!! Vin Diesel unalala saa ngapi!!!!! ladydoctor sala kabla ya chakula cha usiku ni muhim
GOOD NIGHT
Usijali Shem , sio kiss ! Sema viss! So far nimpe viss oevu au vikavu?
aiseeeeeee!!!
lips!! lol.... lavu baiti yahitajika..:A S kiss:unaonaje na mie ukimwachia.......