Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
aaaririririririiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!
ahsante Lady doctor, dedikesheni kwa Heaven on earth na figganigga ni tupogo by ommy dimpozi.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aaaririririririiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!
Vin diesel mbona unataka kuanza kunirubuni tena
Nakuambia ukweli....ukweli mtupu mama watoto...
DEMBA ngoja nijiwekee mimi mwenyewe hiyo dedikesheni
Enhee jamani Vin Diesel wewe........ila hapana SIDANGANYIKI safari hii
sasa ya nini kufukua kaburi? lazima utakuta mifupa tu.....
Dhambi yangu ni kukupenda wewe?
aende huko.......ye kuwapanga sawa mie kuwapnga vibaya kha
Arushaone ashasahau kama ana mke anaitwa Lady doctor.....
mfumo dume at work!
Na mwambie mwenyekiti wa penda penda atangaze ndoa yetu...
KakaKiiza ina maana hauna hata wa kusingiziwa !!!!!!!!Mimi nimeisha tanguliza shukurani!🙂
Huyo wa kuanza nae maisha huyo.....aangalie asije Vin Diesel akapotea tena
na Arushaone amwachie nani!!!!!!!
tyeeenaaaaaaa!!!!!!! Umechelewa meeeeen!!!!!!
Nipo hapa mpaka unyakuo....
Apo chacha
unajua unachokiongea?
Arushaone ashasahau kama ana mke anaitwa Lady doctor.....