Couples Verification!

Nimemwambia watu8 anipe update ananiletea bla bla sijui alipitiwa na usingizi akapitwa na show yote!!
watu8 hawezi yale magoma atuache wenye fani........

chezea fumanizi...... jamaa yuko hoi picha zitaruka hewani suun
 
Last edited by a moderator:


Heaven on earth hujui Mamndenyi kashaolewa na chama
kapo yangu ni mimi na Dena Amsi my wife wangu ho wengine hakuna
Mwambie na Bishanga hapo maana naona anaota mchana kweupe
 
Last edited by a moderator:
kweli jamaa analeta ubaunsa kata katika mapenzzz yaani kasahau hata ule usemi wa simba nae anazaa japo mkali..

Umeona eeh, hajui mapenzi ni sanaa inayohitaji ubunifu na si nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…