Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Zirushe hewani basiii....Mi siwezi kusubiri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zirushe hewani basiii....Mi siwezi kusubiri...
Morning my Heaven on earth....nikuandalie nini breakfast.....
no mi nataka wa yellow!huku ndio nyumbani kwangu kwa taarifa yako...wikiendi hii karibu nyumbani kwangu ntakuchinjia jogoo mwekundu
no mi nataka wa yellow!
huku ndio nyumbani kwangu kwa taarifa yako...wikiendi hii karibu nyumbani kwangu ntakuchinjia jogoo mwekundu
Heaven on earth hujui Mamndenyi kashaolewa na chama
kweli jamaa analeta ubaunsa kata katika mapenzzz yaani kasahau hata ule usemi wa simba nae anazaa japo mkali..
we umejuaje...ya kwako tu yanakushinda muone vile....
Ngoja kwanza nina langu la moyoni...measkron ana hii taarifa
huyo uliyemtaja mi simjui...
mimi49 lipi tena hilo!!!!!!!!!!!Ngoja kwanza nina langu la moyoni...
hahahaaa....... Labda Heaven on earth mie huyu zilipendwa wangu nimeshamzoea