Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
chajitembeza...kizuri chajiuza
kibaya ..................(fili ini ze blanks)
kama hamuwezi masharti...hiyo tindikali kanunueni kwingine
Mi nataka pilau!!umeona wapi mgeni akapewa supu si mzazi ati
Mi nataka pilau!!umeona wapi mgeni akapewa supu si mzazi ati
mwanao kipenzi!ngoja nikuchemshe bongo kidogo....
ni mwanamgu gani unayemtaka?
chajitembeza...
Mr Rocky.....mke wangu Heaven on earth anajua kila kitu changu....simfichi kitu
yaani mpaka nimejua sasa.. Mr Rocky small house mnakaa wenyewe au mmpepangisha
Mkuu Mr rocky wakati mwingine huwa sielewi elewi, lakini naamua kukaa kimya tu. Mara anatafuta wazungu wakati mimi nipo humu humu.
Mr Rocky.....mke wangu Heaven on earth anajua kila kitu changu....simfichi kitu
grafani11 my king ndio unaamka sasa hivi......Supu iko mezani
Mteja ni mfalme.....usitunyasenyase
ungeijua hiyo supu wala usingethubutu kusema hivyo
mwanao kipenzi!
watu8 endelea nae pole pole atakuelewa tusi hadi achorewe picha ndio anaelewa huyo...
jaman hata wewe
haya timueni haraka sana...inaonekana kwanza nyie ni wahamiaji haramu!!