Manenoyo swaki la jiti ! Hayahitaji colget !
Mkuu sosoliso....unavunja mkataba wetu wa amani.
Nashangaa wakijisifia kula mabaki ya mfalme.haiishi my king.......sio sabuni ile.........
Hiyo meseji mtumie na vin diesel.babe nashukuru kwa kunielewa......usisikilize maneno ya watu wana nia ya
kututenganisha hao..........
Toaneni roho siku ya mazishi tutakuja mimi na malkia wangu heaven on earth.Heaven on earth ni mke wangu halali....tutatoana roho hapa,ohooooooo...
Laiti kama ungemfahamu vizuri Mr Rocky usingesema hayo unayosema. Namshukuru sana Mr Rocky rafiki yangu mkubwa sana huyu anaifanya kazi niliyompa kwa ufanisi wa hali ya juu sana. Big Up Mr Rocky!Huyu grafani11 wala haninyimi usingizi....dozi nayompa Heaven on earth hahitaji kutafuta kidumu.....
Toaneni roho siku ya mazishi tutakuja mimi na malkia wangu heaven on earth.
Mbona sielewi?
Huyu Heaven on earth ana wanaume wangapi?
Inaelekea ni mtamu sana mana naona mnamgombania sana lol
Toaneni roho siku ya mazishi tutakuja mimi na malkia wangu heaven on earth.
hilo si la kuuliza bana.....hunioni kwani?!??!
Ndugu mwenyekiti jambazi... Heaven on earth ni mke wangu halali wa ndoa....naomba utu verify
Toaneni roho siku ya mazishi tutakuja mimi na malkia wangu heaven on earth.
Ndugu mwenyekiti jambazi... Heaven on earth ni mke wangu halali wa ndoa....naomba utu verify
Nenda kapashe Kiporo na ur ex........anakusubiria
Sasa na wewe si ulisema uko na figganigga ?