Couples Verification!

Couples Verification!

Mhhh hebu ngoja nisiki ushauri the outcome ya hii statement na zen i will do ze nidful my dear KOKUTONA
Hivi kwani si unakuwa na mimi na Dena Amsi aendelee na kama kawaida kwani kuna shida yoyote

Bado hujanipenda, unanitania...

Kubali ku take risk...mi staki ku share na kama haitawezekana ngoja mi niwe nipo nipo kwanza

And this is dedication to you

Chochote Utapata - YouTube
 
Shem!
Wee nawee! Unawawekea waje wale Mchwa?

Shem staki stress mie...

Sikuumbwa nipate shida sbb ya wengie.

Mungu aliniumba na akasema kila kitu ni chema sana.

Km hawezi ni handle me as me, much better niwe MWANA FA
 
Back
Top Bottom