Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana lake jambo huyo
you will always be my babe...
asante kwa kunisaidia maana nimeshangaa mwenyekiti Erickb52 ananisahau mimi shemeji yake hadi nimelia yani
Nimekuletea red roses....nitakuletea nyumbani....
pole jamani, mvumilie tu maana mwenyekiti wetu tatizo anajidunga
and your ma darling
funguo ninazo mie sijui ataingilia mlango gani, itabidi muende kulekule nyumba ya wageni mnapokutanaga siku zote
woow ahsante sana jioni uniletee basi
mi simtambuiii!
Mpe funguo basi.....usitubanie
anzisha maandamano ya kumpinga
yaani nikimpa funguo tu jua mi na wewe ndio basi tena
Basi basi mama....usiseme kwa sauti...
maandamano yatampa maarufu huyu....