Baby...that was a joke...nisamehe
Hahahahaaa hivi we mwanamke unamjua Vin Diesel ?
Sasa na wewe si ulisema uko na figganigga ?
Hahahahaaa hivi we mwanamke unamjua Vin Diesel ?
Nimekusamehe usirudie tena......
Kwakweli bora nibaki na mzee wa mia kwa huyu "vin" nimeingia choo cha kiume
mke wangu...ukisikiliza hawa raia watavuruga ndoa yetu mchana kweupe....
Me love u so much bebs....
nimeshakua mke wako mwenyekiti si bado hajatuverify
Madalali wa wake za watu mko wengi? DuuhSasa na wewe si ulisema uko na figganigga ?
Babe nakuaminia endelea kumuenjoy angalau apate moyo.me love you 2,3 4......
Sabaniiiiiiiiii Kushney. Amjahd dukshmahane kohmirgeaaaaaaamke wangu...ukisikiliza hawa raia watavuruga ndoa yetu mchana kweupe....
Amjue mara ngapi wakati alikuwa anachuna buzi tu.Hahahahaaa hivi we mwanamke unamjua Vin Diesel ?
Nimekumiss my ex....tupashe kiporo basi....
Umeshamuita au nikusiadie kumuita?Ngoja tumuite hapa achague mmoja....jiandae kuwa suprised