Swali zuri sana ingekuwa busara kama mwenyekiti wa mjadala huu ukamuita na kumuuliza ili atoe majibu yaliyonyooka.Mbona sielewi?
Huyu Heaven on earth ana wanaume wangapi?
Inaelekea ni mtamu sana mana naona mnamgombania sana lol
ha haaaaa.... ngoja nicheke kwanza.....
Unataka niende naye mara ya ngapi mkuu wakati kama ni umri toka tuwe wote mtoto ameanza darasa la kwanza.haya bana wenye mshiko pambaneni tuone mshindi ni nani
na atakayeshinda ndo ataenda na Heaven on earth
my exi.........kiporo kimeshachacha!!! tafuta msosi fresh upike fresh!!!
me love you 2,3 4......
Huyu dogo ana majanga, nadhani sasa watu wataanza kujua mwelekeo wa huyu ANAEJIITA mwenyekitimoto, anahangaika...
Hivi wewe ni mtembea pote au? Mimi nataka mke wangu peke yangu Vin Diesel umeanza uasherati naye lini? tulizana tupo wangapi?. mia
Hivi wewe ni mtembea pote au? Mimi nataka mke wangu peke yangu Vin Diesel umeanza uasherati naye lini? tulizana tupo wangapi?. mia
Sasa na wewe si ulisema uko na figganigga ?
Kwakweli bora nibaki na mzee wa mia kwa huyu "vin" nimeingia choo cha kiume
Sabaniiiiiiiiii Kushney. Amjahd dukshmahane kohmirgeaaaaaaa
Mi natarajia kuoa, nitawajulisha.
Lady doctor..........tena kile cha kichina
my wii Heaven on earth we mkareee chekshia watu wanavyonena kwa lugha, chezeiya maloveeee wewe...... Dadadadekiiiiiii!
Lady doctor..........
Lady doctor..........
Abee!!!!!
Bishanga anajua mie na Lady doctor damu damu........Kama unapenda kuendelea kupumua kaa MBALI na Lady doctor. Bishanga atakusabishia afu akae kando akikucheka.