Couples Verification!

Couples Verification!

Fixed Point nilimwacha mimi...
Hajui kupika Machalari..
cc: Pacha sweetlady
ha haaaaa.... ngoja nicheke kwanza.....
kati ya vitu ambavyo siwazii vinaweza kuniachisha kwenye ndoa ni mapishi.... Aisee napenda kupika na ninaweza.....
Napika pilau la temeke na sijawahi ishi huko..... dagaa wa kigoma tena kwa mawese na sijawahi hata tembelea huko kigoma..... Sembuse macharali na wakati nimeishi moshi miaka 10!......
hivi namkaribishaje mzee wa kichaga nyumbani kwangu kwa msosi kama sijapika macharali ya migombani!!!!!!
nitake radhi rafiki..... tena hadharani
 
Nimekumiss my ex....tupashe kiporo basi....
Vin Diesel im-watching-you.jpg..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom