Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Nishaacha shem wangu!
honey si nilikuambia usiamke sasahivi mpaka nimalize kukuandalia breakfast
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishaacha shem wangu!
Arushaone naomba utambue kuwa Lady doctor alilala kwangu jana....alipokukanda tu mgongo akaja kwanguTunashindwa kukuelewa Vin Diesel kwani wife keshakuambia shughuli niliyompa last night ilikuwa pevu, wewe unaamka na mindoto yako!!!
Arushaone naomba utambue kuwa Lady doctor alilala kwangu jana....alipokukanda tu mgongo akaja kwangu
Na hivi weekend imefiika....kazi ni moja tu...
Mie ndio mume halali wa Heaven on earth....
Staili za kupata chotara nazijua....niachie mie
Tunashindwa kukuelewa Vin Diesel kwani wife keshakuambia shughuli niliyompa last night ilikuwa pevu, wewe unaamka na mindoto yako!!!
My wiii...Nyie watu wa humu mna vituko...mnanifurahisha sana.
Mie Penda Sana Nyie.
By Madame B & Ben Saanane & ZeMarcopolo & Remote INC.
Taratibu mke mwenzaunaakili sana mume wangu!!!
Usiku ulinikosha sana!
umejiandaa vyema kwaajili ya mapambano? Maana kupigana na Arushaone yataka moyo muulize yule sijui MD nani alichofanywa!
yeah, kazi ni moja tu yakuchomeka mpini kwenye jembe, na kulima kwa kwenda mbele
We ni noma,wajua kazi yako....hakuna kulaza damu hapa....jembe ndio uti wa nini vile
Taratibu mke mwenza
ndio mti wa tunda oops, uti wa mgongo LOL!
Hapo umefikishwa!