Couples Verification!

Couples Verification!

Yaaani kweli yaani yaaani unanitosa hivi hivi?

some people just can not eat viporo, havina ladha kabisa!!!!
heri ule kiporo ambacho hujui kuwa ni kiporo, kuliko kula kiporo ulichokipika mwenyewe!!!
 
honey mbona hivyo jamanii? Sipendi nikuudhi ujue babe wangu mi Erickb52 ameniita ili nimueleweshe kwanini mke wake ananiita mke mwenza, ni hilo tu babe wangu... Me love you sana ujuee!!!!

Mitego hiyo wife...stuka fasta before is too late.
 
Mema gani ananitakia huyu?
Karibu kwa kijana wa kisukuma hapa
 
mwallu Saaafi kabisa kumbe na wewe ni mtu!!!
 
Last edited by a moderator:
Whaaaaaaat? Ale hella akimbie? Kwa msukuma? Sio rahisi sana labda akajaribu kanda ya kati
 
Enheee, halafu mwambie huyu jamaaa amekuwa akinifukuza kumkaribia mwallu sijui ana lengo gani huyu
 
Last edited by a moderator:
kuna watu wanajua kujipa promo balaa chama usiwe na uhakika sana na wala usijiamini hivyo bana
Mr Rocky
Kama una uhakika na viwango vyako unakuwa huna wasiwasi; viwango vya Chama ni 100% FDA approved; wewe viwango vyako ni vya TBS magumashi matupu sasa hili la wewe kutaka kuingia kichwakichwa kwa Mamndenyi hiyo ni suicide mission ya nini ufe kabla ya wakati kwa kutaka mambo ambayo hulingani nayo? Nakupa ushauri wa bure leo jumapili kamatana mkono na Bujibuji muingie ufukweni Kigamboni mtakamatia vidagaa vilivyopotea njia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom