bwana Yesu asifiwe!
Amen....leo mie na wewe baada ya ibada mpaka kesho.....
kwani unamapepo unahitaji kukemewa tushinde wote kwenye maombi?
Dah mama kaolewa na uncle yahaya naye kawa yahaya!!! ama kweli mume na mke wakikaa muda mrefu hufanana
Yaaani kweli yaani yaaani unanitosa hivi hivi?
Ushawahi kumsikia Chocs anakulalamikia kisa uko na mimi?
Mr Rockykuna watu wanajua kujipa promo balaa chama usiwe na uhakika sana na wala usijiamini hivyo bana