Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
eti na wewe unazibuliwa na nan vilei!!!!!
Ahsante mhe. mwenyekiti kwa kutambua kapo zetu. nina swali dogo la ziada eti tunaruhusiwa kuwa na smolu hausi?
hilo benchi ulilokalia litapata moto sasa maana ni muda mrefu sana tangu ulipoanza kulikalia hauwinuki
KakaKiiza mi nitakupa mmoja
Kazaneni tu mnajua mi na Bishanga tukianza hamkai humu nitamkuwadia mmojammoja
Ngoja usiniharibie pozi.
Ujumbe huu umfikie Lady doctor popote pale alipo.
Slave we mbona yakwako sijaiona!!!!![/QUOTE Heaven on earth
ujue wanja wako unaniweka majaribuni, shauri yako
Huna mamlaka ya kuwatbua wenza.
Na hata kama unayo, nani kakupa?
Na lini amekupa?
TANGAZO HILI SI HALALI MAANA LIMETOLEWA NA MTU ASIYE HALALI.
thubutu yako!!
Kapo yangu huijui?
Slave MBONA MANENO YAKO MIE HUKU TAABANI!!!!!!!!Slave we mbona yakwako sijaiona!!!!![/QUOTE Heaven on earth
ujue wanja wako unaniweka majaribuni, shauri yako